Machapisho

NAFASI 500 ZA KAZI HOUSEMAIDS

  TUNAHITAJI WADADA WA KAZI ZA NDANI Ajira Connection Tanzania Employment Agency, iliyosajiliwa Mnamo mwaka 2024 June, 18, yenye Makao Makuu yake Mwanza wilaya ya Nyamagana. Inayoendesha huduma za Ajira na Rasilimali watu nchini Tanzania; Ikiwa ni Tanzania Bara, na Tanzania Visiwani, tunapenda kuwatangazia, Vijana wote wa kike waliopo nyumbani tu, na wengineo kuwa tumetoa nafasi za kazi za ndani kwa Mikoa yote ya Tanzania. Hakikisha Mwombaji si Mwanafunzi, uwe ni raia pia wa Tanzania kwa kuzaliwa. Uwe na Afya njema. Viwango vya Mishahara. Mishahara imegawanyika katika pande tatu kulingana na Uchumi wa Familia upande wa Mwajiri au Waajiri husika. 1. Familia ya Uchumi wa Chini. Kiwango cha Mshahara kwa Familia za Uchumi wa chini ni Tzs. 50,000 - 70,000/= kwa mwezi. Familia ya Mfumo huu inakuwa na Majukumu machache na watu wasiopungua wala kuzidi wawili au watatu hadi wanne (2 au 3 - 4). Wakiwa wawili ni Mume na Mke, au Baba na Mtoto, au Mama na Mtoto. Wakiwa watatu ni Familia ya waza...